Subscribe
Living Life Abundantly

Natamani Kutembea Nawe – Rebekah Dawn

I like this song so much. In fact, like is an understatement. I looove it. I heard it once but forgot about it. I couldn’t find complete lyrics online so I wrote it down. Hope they are correct 🙂

Kutembea Nawe by Rebekah Dawn

Nikipoteza njia
Kwa safari Nimechagua
Nisipokuwa na nguvu
Niite

Niongoze kwa neema
Nifunze kwa upole wako
Hata nikikukosea nsaidie
Nisaidie

Sielewi Njia Hii
Ndio Maana Nakuhitaji
Nakutegemea Wewe
Enda Nami

Nashindwa Kukupa Yote
Hata Hivyo Nita Amini
Kwani Najua Mwishowe
Kuna Raha

Natamani kutembea nawe
Natamani kutembea nawe
Natamani kutembea nawe
Niongoze
Niongoze

3 Comments
  1. Rebekah God bless you forever.

  2. It’s a great song.
    Correction: The word in 2nd stanza should be “NIFUNZE” and in 4th stanzaI think she sings “MWISHOWE”

Leave a Reply